SURA NZURI KUMSOMEA MTOTO WAKO

sura zote 114 za Quran zina faida katika kinga na tiba za maradhi mbalimbali na majanga ya kidunia na akhera, ila zifuatazo ni sura zinazotumika kumsomea mtoto kwa maslahi yake ya sasa na baadae Na Dr. Hamy ~surat Fatiha, hii ni sura ya ufunguzi katika kisomo chako na kitaalam inatibu kila ugonjwa. msomee mtoto mara saba ~ayat kusiy na aya nne za mwisho za surat baqara. aya hizi ni ulinzi mkubwa sana kwa familia yako ~surat ibrahim, imeelezwa kuwa mtoto atakayesomewa sura hii allah atamuepushia maradhi katika umri wake wote. ~surat bani israil, faida ya sura hii ni kwa mtoto anayechelewa kusema. chukua maji uyasomee sura hii kwa yakini halafu mpe anywe ataongea ~surat yaasin imeelezwa kuwa hii ndio moyo wa qur'an, nani utimilifu wa haja. soma sura hii kuipa uzito dua yako ~surat jaathiyah, sura hii akisomewa mtoto mchanga atapata ulinzi dhidi ya kila majanga ~surat tur mtoto atakuwa na afya nzuri ~surat balad ni kinga ya maradhi ~surat nas itamlinda mtoto dhidi ya maji...