TIBA ASILI YA U.T.I
Leo nimependa niwape faida moja ya tiba ambayo itawasaidia mpaka kufa, naamini kila mmoja atapenda somo hili.
Chukua ukwaju na tangawizi. Hakikisha ukwaju unaochukua ni ule wa tunda ambazo ni chachu ukila ambazo hutumika kutengeneza juisi. Pia chukua tangawizi ile mbichi kabisa ya kuweka kwenye chai.
Saga tangawizi kisha weka kwenye sufuria yenye maji lita moja na nusu, weka na ukwaju humo uanze kuchemsha hadi ichemke sawasawa. Ukwaju utajivua na dawa yako itachanganyika vizuri kwenye maji. Tumia mwiko kukoroga vizuri na kisha uchuje.
Tumia dawa hii kwa kunywa kutwa mara tatu kwa siku tatu, ikiisha chemsha tena nyingine utumie kwa siku tatu zingine. Jumla utakuwa umetumia dawa hiyo kwa siku sita.
Inshallah wiki ijayo nitakuwa Dodoma, Mbeya na Iringa kwa ajili ya wanaohitaji tiba zangu. Nijuze mapema kama utahitaji tuonane kupitia namba hii 0678659525
Dawa hiyo hapo juu ni dawa kiboko naya uhakika kutibu tatizo la UTI (Urinary Tract Infection).
Comments
Post a Comment