Kama unampenda mtu hataki hata kukuona, fanya njia hii

Nenda katika mti wa mbaazi siku ya jamaa tano saa moja asubuhi. Ukifika piga hodi Mara tatu, mwagia mtama kidogo, mchele na bisi. Ongea na mti huo ukiuomba jambo ulilolikusudia. Kisha ng'oa mzizi mmoja wa upande linapozama jua uondoke nao.
Chukua mchanga wa mguu wa kushoto wa huyo mwanamke unayempenda naww chukua mchanga wa mguu wako wa kulia. Kisha rudi sasa sehemu ya kufanya kazi yako.
Tafadhali muda uwe ni saa moja jumaatano kama imeshapita basi subiri mpaka saa nane.
Tandika kitambaa cheupe, weka kitu kimoja kimoja huku unakinuwia kumuita huyo umpendae katika mapenzi yako. Ukimaliza vifunge pamoja kwa kutumia uzi mweupe. Ifukize ubani mashtaka, ubani mweupe, uvumba na udi.
Ukimaliza nenda kaifukie katika jiko la kuni chini. Huyo mtu atakupenda kuliko kawaida.
Dr. Hamy 0678659525

Comments

  1. Mbona lazima saa moja Tena jumatano,pili bisi Ni nn pamoja na uvumba..?

    ReplyDelete
  2. He nkipata udi mmoja na ubani wa kawaida haitoshi? Alafu saa moja na hyo saa nane iwe usiku ama?
    Alafu je kama nataka kumfanyia rafki ntafanyaje?

    ReplyDelete

Post a Comment

Popular posts from this blog

Njia rahisi ya kusafisha nyota yako na kukupa mvuto

Dawa ya kuvuta wateja katika biashara yako