Njia rahisi ya kusafisha nyota yako na kukupa mvuto
Iwapo umekuwa wa kuandamwa na matatizo mbalimbali mikosi na unataka kuwa na mvuto kwa watu. Unaweza kujitibu kwa njia hii rahisi kabisa,
Chukua dawa iitwayo ubani mweupe ubani dhukra ubani mushtaka na mjafari changanya na uchemshe na maji ya marashi kisha tumia kuogea usiku na asubuhi kwa siku 21 tu utaona mabadiliko makubwa kikubwa usiwe na shetani mwilini mwako dawa hii ni mujaraabu kwa usafi wa nyota.
Shetani ama jini hawezi kuondolewa kwa dawa hii hivyo kama tatizo lako linatokana na uwepo wa majini basi inabidi utolewe kwanza
Utajuaje kuwa una jini mwilini
ReplyDeleteukitaka kusafisha nyota na kupata mvuto tafuta hela wacha ushirikina
ReplyDelete