PETE ZA BAHATI 2
Pete zina mambo mengi sana, ukiitazama pete hii haina kito cha rangi yoyote kama Vito tulivyovizoea
Lakini hii nayo ni Pete ya bahati.
Pete hii katika kichwa utaona ni madini tu ya aina sawa na pete yenyewe lakini ukweli ni kwamba ndani humo kunaingia pesa ya zamani, kunaingia tarasimu maalum kwajili ya mvuto na bahati ambayo makazi yake maalum ni kwenye pete, kitu cha tatu kuingia katika Pete hii ni dawa za miti Ama za kiarabu zote zinachanganywa pamoja na kufunikwa vizuri na madini ya fedha ama dhahabu.
Kisha bwana sonara anaitengeneza vizuri Pete hiyo kwa umbo la duara, kopa, kisu 'n.k ili kuwa yenye kupendeza zaidi ivaliwapo.
Wengi wetu bado hawajajua nini faida ya pete lakini kwa yoyote anayejua siri hii iliyopo katika Pete hawezi kukosa kuvaa. Hebu watazame waganga, watabiri, na viongozi wa dini. Hawakosi Pete maalum vidoleni mwao.
Watazame tena watu maarufu, wasanii, maraisi, wafalme, matajiri wakubwa na mawaziri. Hawakosi pete vidoleni mwao.
Inakuwaje wewe ukose kwani hutaki faida hiyo iliyopo ndani yake.
Kuna Pete zenye gharama tofauti kulingana na matakwa yako na uwezo wako wa kifedha. Ila Pete iliyokamilika kabisa kwangu inapatikana kuanzia shilingi laki moja na nusu za Tanzania. Sawa na Ksh. 7500/=
Au Ush. 260,000/=
Kumbuka kuwa Pete isipotengenezwa kwa kufata hatua zinazostahili Pete hiyo itakuwa pambo tu kidoleni mwako badala ya kukuletea faida zinazokusudiwa.
Hamy Hamy K Silva lva 0678659525
Comments
Post a Comment