TIBA YA MACHO
DAWA YA MACHO IKIWA YANAUMA
chukua mrututu na majani ya mfudu , tia katika makaa ya moto umfushe mgonjwa usoni asubuhi na jioni kwa muda wa siku tatu atapona inshallah
DAWA YA MACHO IKIWA HAYAONI MBALI
iwe kwa kuathiriwa na kutazama screen kwa muda mrefu, mionzi ya , Computer n.k
Ama matatizo mengine yote ya macho
.
Nenda katika mti uitwao mwinukanguu, chimba upate kiazi chake. Kisafishe bila kutumia maji (kikwangue kwa kisu hadi kiwe Safi kabisa, ondoa udongo wote na ganda la nje)
Kitwange katika kinu. Weka maji kidogo na uyatumie maji hayo kudondoshea katika macho yote mawili kila ifikapo muda wa kulala , kwa siku tatu hadi wiki moja tu, utakuwa umepona kabisa
Comments
Post a Comment