DAWA YA KUONDOA WEUSI KATIKA UKE WAKO

KWA WANAWAKE TU ®+18
Habari za wakati huu kwa wapendwa warembo wa kila rangi.
Leo nakuletea hii faida ya dawa nzuri kabisa itakayokufaa
VIFAA
Asali (vijiko 2)
Machicha ya nazi (Vijiko 2)
Sukari (Vijiko 2)
Maji ya ndimu (kijiko 1)
UANDAAJI
Saga sukari yako au itwange katika kinu (kiuri) hadi ilainike na kuwa unga.
Baada ya hapo changanya na vitu hivyo pamoja, ikoroge vizuri ichanganyike
MATUMIZI
Kwanza nyoa nywele zote katika sehemu za siri uwe safi kabisa.
Tumia dawa hii kusugulia katika kona zote za uke wako. Juu na chini, kulia na kushoto.
Dr. Hamy  0678659525
Dawa hii ni dawa nzuri sana ya kuondoa weusi katika uke wako, kuweka ulaini na kuondoa ukavu katika uke wako. Hii ni scrub nzuri sana kwa wadada wanaopenda kwenda na wakati.

Comments

Popular posts from this blog

Njia rahisi ya kusafisha nyota yako na kukupa mvuto

Kama unampenda mtu hataki hata kukuona, fanya njia hii

Dawa ya kuvuta wateja katika biashara yako