FAIDA ZA KINGA

Wengi wetu wamekuwa wakithamini sana dawa lakini kinga hawazithamini abadan. Wakati wa kuumwa pekee ndio mtu anapomtafuta daktari lakini akishapona hakumbuki tena kama kuna mtu muhimu anayeitwa daktari, hii iwe hospitalini au kwa mganga Zipo kinga za namna nyingi ila leo nitazungumzia kinga za mwili na nyumba. Kinga ndio kitu pekee kitakachokufany a usirudirudi kwa mtaalamu kufata tiba kila kukicha. Iwapo unakumbwa na matatizo ya mara kwa mara ukitibiwa leo unqkuwa sawa kabisa lakini baada ya muda tu tatizo linarudia basi ujue wewe unaishi na pamoja na ubaya, hivyo ukiwa na kinga mbaya wako hataweza tena kukuingilia na kukudhuru. Kuna nyumba kila siku wakazi wake hawalali, mara wameingiliwa na wachawi, mara ndoto za ajabu ajabu, mara watoto kulialia n.k Hayo yote yanakomeshwa na kuweka kinga katika nyumba yako. Je wezi wamekuwa adui wa mazao yako shambani? Kila ukilima wanavuna wao. Dawa pekee ya kuwadhibiti wezi ni kuweka kinga. KINGA NI BORA KULIKO TIBA 0678659525