TIBA ASILI YA KUPATA UJAUZITO
Habari yako mwanandoa!
Iwapo umedumu katika ndoa yako kwa mwaka mzima au zaidi hali ya kuwa burudani ya ule mchezo unacheza kama kawaida basi jua wewe una tatizo unastahili tiba.
NANI MWENYE TATIZO KATI YENU?
Mwanaume na mwanamke wote wanawajibu wa kujiuliza kwanini hawapati mtoto. Mwanaume matatizo yake yanaweza kuwa ni
Kutoa mbegu (sperm) zilizokufa
Kutoa kiwango kidogo sana cha mbegu (sperm)
Udhaifu wa nguvu za kufanya mapenzi na hujikuta akishindwa kushuhurika siku husika ya mimba
Wakati kwa mwanamke matatizo yake ni
Kukoma uzalishaji wa mayai ya uzazi (Tatizo hili halitibiki)
Uzalishaji hafifu wa mayai ya uzazi (kwa kikubwa hii husababishwa na vizuia mimba)
Kuziba kwa mirija ya mimba
Uvimbe katika kizazi
Kutokuzalishwa kwa ute mwepesi katika njia ya kizazi ya mwanamke.
Ute katika njia ya kizazi una kazi ya kulainisha njia na kufanya mbegu za kiume ziweze kusafiri vizuri mpaka kufikia mayai ya kike. Mbegu hazitaki kukutana na mchubuko wowote njiani hivyo basi kunapo kosekana ute huu katika njia zako za uzazi itakuwa ni sababu ya manii zote kufia njiani.
©Katika sababu zote hizi ifahamike kuwa zipo zinazotokana na maumbile, magonjwa, matumizi mabaya ya dawa, majini mahaba na hata kurogwa.
Hivyo basi kabla hujaenda kuanza tiba yako hakikisha unatazamwa kwa kina na mtaalamu wako chanzo halisi cha tatizo hilo. Baada ya hapo ndipo akutibie tatizo kwa kuanzia kiini chake.
Waganga wengi wanakosea kutatua tatizo hili kwakuwa wanakimbilia kukwambia umerogwa. Sio kila anayekabiliwa na tatizo la uzazi basi amerogwa. Pia wengine wana dawa nzuri sana za kurutubisha mayai ya kike kushika mimba, ila wanashindwa kuwaponyesha dada zetu wenye matatizo ya kishirikina kwa kuwapikia kuku badala ya kutibu tatizo.
Tazama kwanza tatizo ni nini ndipo upate tiba.
This comment has been removed by the author.
ReplyDeleteKwenye kutafuta tafuta Mimi binafsi nimeona dawa ilioweza nisaidia. Nafikiri ni vizuri kama nikisaidia na wengine kuipata. Bonyeza hapa mbele kwenye link Yao utawapata. Dawa ya kushika mimba
ReplyDeleteKwa zaidi ya miaka 13 ya ndoa sikuweza kuzaa, naendelea kuharibika hata nikipata mimba, madaktari wote hawakuweza kunisaidia, hadi dada yangu akanielekeza kwa Dr DAWN, ambaye alinisaidia nikapata ujauzito na sasa hivi kuwa na mtoto mzuri wa kike,
ReplyDeleteAnasaidia pia marafiki zangu wengi niliowaelekeza, Dr DAWN ni baraka kwa kila mtu anayewasiliana naye,
*Kama unataka kupata mimba.
*Ukitaka kuacha kuharibika kwa mimba.
*Ukitaka kumrudisha mpenzi wako.
*Kama unataka mume/mkeo arudishwe.
*Kama unataka kurejesha mali yako iliyoibiwa au Pesa.
*Ukitaka kutibu aina yoyote ya ugonjwa,
Wasiliana naye kwa WhatsApp: +2349046229159