Ndoa za watu na Majini

WAJUE WANAWAKE WALIOOLEWA NA MAJINNI.
WAJUE WANAUME WALIOOA MAJINNI.
ZIJUE TIBA ZA KISUNA ZA KUONDOSHA TATIZO LA MAJINNI HAO.
ZIJUE DUA ZA KUWAFUKUZA MAJINNI HAO.
dr. Hamy 0678659525
°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°
Tatizo hili linawakuta watu wengi sana katika jamii zetu hadi kuwapelekea kuishi kwa unyonge na huzuni baada ya kukosa na kupoteza Yale yaliyokua ni mzuri kwao.
Kwamfano wapo waliokuwa na tatizo hili na likawafanya wakose hisia za makutano ya kimwili na wenza wao, ni kwakua wamesibiwa na kuolewa na Majinni au kuoa Majinni.
Pia wapo ambao hawajapata bahati ya kuolewa, lakini wanatamani kuolewa. Tatizo anajikuta kaishaolewa na dume la kijinni, hivyo kumfanya asiweze kuolewa na kutokua na hisia na binadamu wenzie, hiyo inatokana na kidume hicho cha kijinni kujifanyia mwanamama Huyo kua ndie mke.
Pia mwanamama Huyo alieolewa na kidume cha kijinni, hupata maumivu makali sana wakati anapokua katika mahusiano na mwanamume wa kibinadamu, hadi kumfanya mwanamama Huyo kuwachukia na kukosa hisia kwa mwanamume wa kibinadamu.
Pia mwanamume wa kibinadamu anapokua kaoa mwanamama wa kijinni, humfanya mwanamume Huyo kuwa muoga wa wanawake wa kibinadamu, pia kuna matatizo yanayoweza kumkuta mwanamume huyu wa kibinadamu, kama kuwahi kufika kileleni mapema mno pindi awapo na mwanamke wa kibinadamu, pia hupungukiwa nguvu za kiume na kushindwa kurudia Mara ya pili baada ya safari ya kwanza.
ﻫﻞ ﻳﺤﺪﺙ ﺯﻭﺍﺝ ﺑﻴﻦ ﺍﻹﻧﺲ ﻭﺍﻟﺠﻦ؟
HIVI INAWEZEKANA NDOA BAINA YA MWANADAMU NA JINNI?
°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°
ﻻ ﺯﻟﻨﺎ ﻧﺴﻤﻊ ﺃﻥ ﻓﻼﻧﺎ ﻣﻦ ﺍﻟﻨﺎﺱ ﺗﺰﻭﺝ ﺟﻨﻴﺔ، ﺃﻭ ﺃﻥ ﺍﻣﺮﺃﺓ ﻣﻦ ﺍﻹﻧﺲ ﺧﻄﻴﺒﻬﺎ ﺟﻨﻰ، ﻭﻗﺪ ﺫﻛﺮ ﺍﻟﺴﻴﻮﻃﻰ ﺁﺛﺎﺭﺍ ﻭﺃﺧﺒﺎﺭﺍ ﻋﻦ ﺍﻟﺴﻠﻒ ﻭﺍﻟﻌﻠﻤﺎﺀ ﺗﺪﻝ ﻋﻠﻰ ﻭﻗﻮﻉ ﺍﻟﺘﻨﺎﻛﺢ ﺑﻴﻦ ﺍﻹﻧﺲ ﻭﺍﻟﺠﻦ .....
ﻳﻘﻮﻝ ﺍﺑﻦ ﺗﻴﻤﻴﺔ ﻓﻰ ﻣﺠﻤﻮﻉ ﺍﻟﻔﺘﺎﻭﻯ : ٣٩ / ١٩ . " ﻭﻗﺪ ﻳﺘﻨﺎﻛﺢ ﺍﻹﻧﺲ ﻭﺍﻟﺠﻦ ﻭﻳﻮﻟﺪ ﺑﻴﻨﻬﻤﺎ ﻭﻟﺪ، ﻭﻫﺬﺍ ﻛﺜﻴﺮ ﻣﻌﺮﻭﻑ "
Hatukuacha kua ni wenye kusikia kua Fulani kaoa jinni, au mwanamama wa kibinadamu kachumbiwa na jinni.
Imamu suyutwi kaeleza sana kwa kirefu kuhusu athari na khabari za waliotangulia na wanachuoni zinazojulisha na kuonyesha matukio ya ndoa baina ya mwanadamu na jinni.
Anasema ibnu taimia,: kwahakika Majinni na mwanadamu huoana na kuzaa watoto, na jambo hili ni maarufu:
Zipo dalili nyingi zinazo onyesha kua kunauwezekano wa Majinni kuwafanya baadhi ya wanawake wa kibinadamu kua ni wake zao. Pia zipo dalili nyingi kufika kwa wanachuoni zinazoonyesha kua upo uwezekano wa mwanamume wa kibinadamu kutoa mwanamke wa kijinni.
# # Rejea khabari hizi katika kitabu kiitwacho
" ﻋﺎﻟﻢ ﺍﻟﺠﻦ ﻭﺍﻟﺸﻴﺎﻃﻴﻦ "
Cha mwanachuoni aitwae,
ﻣﺤﻤﻮﺩ ﺍﻟﻤﺼﺮﻱ ﺃﺑﻮ ﻋﻤﺎﺭ ##
UTAMJUAJE MTU ALIEOLEWA NA JINNI?
UTAMJUAJE MTU ALIEOA JINNI?
°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°
Hizi ni dalili za watu wanaosumbuliwa kimapenzi na Majinni. Na utakapo ziona dalili hizi juakua nawe nimuathirika wa tatizo hili.
1. Kuota njozi za kujamiiana na mtu unaemjua au usie mjua.
2. Kuwachukia wanamume kwa mahusiano ya kimwili.
3. Kuhisi maumivu wakati wa tendo.
4. Kutohisi ladha wala furaha ya tendo.
5. Kutosimama kwa uume.
6. Kulegea kwa uume wakati wa tendo.
7. Kuwahi kufika kileleni na kushindwa kuendelea.
8. Kuwakimbia wachumba.
9. Kuwaogopa wanawake na kutetemeka.
10. Kukimbiwa na wachumba kila wanapotokea.
11. Kupenda kulala pekee chumbani.
Kwa mawasiliano na msaada tiba wa maradhi ya kijinni wasiliana na mwandishi kwa namba. 0678659525

Comments

  1. Leo Natoa somo bure kuhusu Mali za ndagu,
    Unaweza kujiuliza mali za NDAGU ni nini?

    Dokta Mdiro call/whatsup +255 742162843.

    Ndagu ni dawa ambazo hutengenezwa kwa mkusanyiko wa taratibu fulani ambazo hufanyika kwa pamoja ikilenga jambo fulani.

    Hasa malengo makuu ya ndagu ni
    1.kutengeneza mali
    2.kulinda Mali.

    Ndagu hizi hutumia nguvu ya wazee(Mizimu)
    Sasa yapo nikupe maana ya mizimu ni nini?

    MIZIMU NI NINI?

    Mizimu ni roho za wazee wetu (wa ukoo) toka katika pande zote mbili Baba na Mama ambao ni babu na bibi toka kwa baba na babu na bibi toka kwa Mama,roho hizi huja na kuwa na sisi pale tunapozihitaji au zinapotuhitaji....!
    kwanini Mizimu huja kwetu au kwaini tunaiita?
    -UDUGU, kumbuka roho hizi ni zile za waze wetu (ancestors) ambao walizaa baba na mama zetu hivyoo kuja au kuwaita hutokana na Udugu

    ULINZI, roho zote zisizo na mwili huona yasiyoonekana kama Uchawi na magonjwa hivyoo Wazee wetu huja na tunawaita watuambie haya tusiyoyaona.

    MILA, utamaduni na desturi zetu hututaka tufanye mambo yaliyo katika mpangilio ulio sahihi kama kuwapa wazee heshima na kusikiliza yale wanayotuambia.

    Wazee hawa hutupatia mali kama zawadi lakini kwa masharti fulani maalumu hii ni tofauti na majini.

    Aina za ndagu zipo sita kunazile ambazo unaweza kufanya sehemu ulipo na zile ambazo unaweza kufanya kwa kunifuata yaani tukiwa pamoja hii ni kutokana na sababu mbalimbali kama wengine kutokuwa na ghalama za safari hivyo unaweza kufanya sehemu ulipo na jambo lako kukamilika.

    Ndagu ambazo ni lazima tuwe pamoja ni 4.
    1.Kutoa kitu.
    2.Mimba.
    3.Utasa.
    4.Ndugu 3.

    Ndagu ambazo unaweza kufanya sehemu ulipo ni 2.
    1. Ulemavu.
    2.Wanyama.

    Angalizo!!! Kwa msaada piga simu husijaribu jambo bila maelekezo ya dhati.

    Karibu sana na uwe na nia ya dhati.

    DOKTA MDIRO Namba call/whatsup +255 742162843

    Reply

    ReplyDelete

Post a Comment

Popular posts from this blog

Njia rahisi ya kusafisha nyota yako na kukupa mvuto

Kama unampenda mtu hataki hata kukuona, fanya njia hii

Dawa ya kuvuta wateja katika biashara yako