FUNGA NDOA KUPITIA NYOTA 1
Iwapo jibu ni ndio basi fatilia makala hii ya leo nikufundishe njia rahisi ya kutumia nyota ila kumpata mwenzako wa maisha.
NYOTA YA MASHUKE NA SAMAKI
Hawa wawili ni wapenzi wazuri wakutanapo. Iwapo ww una nyota hiyo ukitaka ndoa chagua mpenzi asiyesoma ni bora zaid kwako kuliko aliyesoma. Utampata tarehe 30 ya mwezi wowote na mtakutana hospitali au hotelini au baada ya ajali. Kuwa maridadi, vaa viatu virefu vya visigino na mlio. Usikose senti kidogo, na usionyeshe kulia au kukata tamaa na kumuhudumia katika ugonjwa wake au jamaa wake wa kike. Kutaneni siku ya alhamis
NYOTA YA SIMBA NA NDOO
Mpenzi anapenda kukandwa na halendi kutolewa ukali na mtembee kwa haraka, saa za mapumziko ziwe ni saa moja au tano. Uwe muhongaji na ukae karibu na nyumba ya kona. Mwanamke avae kofia au ushungi, na kiuno akibane kwa mkanda, mshipi au kanga.
Tendo la ndoa liwe fupi na la kurudiarudia, lakini penda romance na massage. Kutana nae siku ya jumapili.
NYOTA YA PUNDA NA MIZANI
mpate mpenzi siku ya ijumaa kwenye sherehe za ngoma, saa 3 au saa 9. Vaa nguo rangi mbili juu nyekundu chini njano.
Mshike mkono mara kwa mara. Hakikisha mnakula kabla ya mazungumzo.
Itaendelea
Comments
Post a Comment