FAIDA YA SURA HIZI TATU

1. aya ya 23 ya sura hii ni tiba kwa maradhi ya macho
2. aya ya 37 ni tiba ya maradhi ya moyo
3. msomaji wa sura hii rizki yake huongezeka
4. hakuna mateso wakati wa kifo cha msomaji wa sura hii
SURATUDH DHARIYAAT
1. ukichukua maji ukayasomea sura hii na kumpa mgonjwa wa maumivu ya mgongo, atapoa kwa uwezo wa mwenyezi mungu
2. kwa mama mjamzito akisomewa sura hii hujifungua kwa urahisi hata kama uzazi wake ni wa matatizo
3. kifo cha msomaji wa sura hii si cha mateso
SURATUT TUR
1. kama sura hii itasomwa kwa ajili ya mtoto mchanga, mtoto huyo atakuwa na afya nzuri
2. kama mtumwa, mateka au mfungwa atasoma sura hii, au jamaa zake watasoma kwajili yake kwa idhini ya allah ataachiwa huru.
amini mungu hashindwi na lolote kama una magumu yanayokushinda njoo tumuombe mungu pamoja atusaidie

Comments

Popular posts from this blog

Kama unampenda mtu hataki hata kukuona, fanya njia hii

Njia rahisi ya kusafisha nyota yako na kukupa mvuto

Dawa ya kuvuta wateja katika biashara yako